Ikiwa Jumamosi hii ya Juni 25, ni ya mwisho wa mwezi wafanyakazi wa hospitali ya Taifa ya Muhimbili watekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, John Pombe Magufuli kwa kufanya usafi katika sehemu mbalimbali za hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam .![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhlkMtwMQqKU7yZoIEwiMSHTxLEzSGQJo3VYrZGRDc7g4WqRzviaSGotUekve6aX5sHBEayjXLtp7ltUcO5Cr_JD5pdPt6XqrTAKh3Eo6A8SO3HGfvmkGwy1LIsCu1HEPEz5-33vW1zs4gU/s640/0001.JPG)
Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakifanya usafi ikiwa ni kutekeleza agizo la rais la kufanya usafi kila mwishoni mwa mwezi.
Kutoka kulia Chindemba Lingwana, Patrick Rogath ambaye ni Mkuu Idara ya Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwenye hospitali hiyo, Christian Mtei na Fred Felix wakifanya usafi katika jengo la utawala.
Shughuli za usafi zikiendelea katika Hospitali hiyo.
Picha na John Stephen, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
No comments:
Post a Comment