SHULE ZA MSINGI KATIKA MANISPAA YA TEMEKE ZAANZA KUPOKEA MADAWATI
Mkuu wa Wilaya ya TEMEKE, Bi Sophia Mjema akikabidhi Dawati kwa Mwakilishi wa Shule ya Msingi ya Mtoni kama Ishara ya kuanza Kupokea Madawati ndani ya Manispaa ya Temeke, ambapo Madawati mengine 50 yatatolewa na Kampuni ya African.
Mkuu wa Wilaya ya TEMEKE, Bi Sophia Mjema akipeana Mkono na Mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Mtoni, mara Baada ya kukabidhi Madawati 200 kwenye Shule hiyo, ambapo Madawati mengine 50 yatatolewa na Kampuni ya African.
Mkuu wa Wilaya ya TEMEKE, Bi Sophia Mjema akiwa ameketi kwenye Dawati akiwa pamoja na Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Mtoni, Baada ya Kukamilisha Zoezi la Kukabidhi Madawati 200 kwenye Shule hiyo ikiwa ni Ishara ya Kuanza kupokea Madawati ndani ya Manispaa Hiyo.
No comments:
Post a Comment