DAR
ES SALAAM
Jeshi
la polisi kanda maalum ya dar es salaam
limepinga kongamano lililo pangwa kufanyika katika ofisi za chama cha act
wazalendo yaliyo andaliwa na kiongozi wa
chama hicho Mh Zito Zuberi Kabwe kwa kusema maandamano hayo uweza kuchochea
uvunjifu wa amani.
VICTORIA MUNGURE
No comments:
Post a Comment