Askofu Mkuu wa kanisa la Ufufuo Na Uzima Dr. Josephat Gwajima afunguka na kusema maovu, yaliotendwa na Serikali ya awamu ya nne .
Pamoja na hayo Askofu Gwajima amempa ushauri Mh. Magufuli kuhusu sakata/mpango unao-endeshwa na vigogo wakubwa, chini kwa chini wa kumnyima uenyekita wa chama katika chama cha mapinduzi (CCM).
Pamoja na hayo Askofu Gwajima amempa ushauri Mh. Magufuli kuhusu sakata/mpango unao-endeshwa na vigogo wakubwa, chini kwa chini wa kumnyima uenyekita wa chama katika chama cha mapinduzi (CCM).
Kutokana na kauli yake ambayo amesikika akisema lisema kuwa kuna mpango wa baadhi ya viongozi wa chama hicho wanaoendesha kampeni ya kusema kuwa sio lazima uwe raisi na kuwa mwenyekiti wa chama.
No comments:
Post a Comment