Friday, June 17, 2016

KAULI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM KUJISALIMISHA KATIKA KITUO CHA KATI KABLA JESHI LA POLISI HALIJAANZA KUMSAKA:

DAR ES SALAAM. SIKU CHACHE BAADA YA SAUTI INAYOSADIKIWA KUWA NI YA ASKOFU MKUU WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA JOSEPHAT GWAJIMA KUSAMBAAA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII JESHI LA POLISI LIMEMTAKA KUJISALIMISHA KATIKA KITUO KIKUU CHA POLISI. INSERT SIRO. KWA UPANDE WAKE MSEMAJI WA CHAMA CHA MAPINDUZI BWANA CHRISTOPHER OLE SENDEKA AMESEMA HAWAJAFANYA UAMUZI WOWOTE KUHUSIANA NA HILO. INSERT SENDEKA.

No comments:

Post a Comment