Waziri wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa (TANZANIA) na Wahariri,Wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari ,mkutano unaofanyika katika ukumbi wa VETA mkoani Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Kebwe Stephen Kebwe akizungumza wakati ufunguzi mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania na Wahariri,Wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari .
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza wakati wa mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania ,Wahariri,Wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete akitoa maelezo ya awali kuhusu mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania ,Wahariri,Wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari ,Mkutanoo unaofanyika mkoani Morogoro.
Baadhi ya Wahariri na Wanahabari waandamizi wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya Wahariri na Wanahabari waandamizi wakiwa katika mkutano huo unaofanyika ukumbi wa Veta mjini Morogoro.
Baadhi ya wawasilishaji wa mada katika mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Wahariri,Wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari .
No comments:
Post a Comment