Showing posts with label wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Show all posts
Showing posts with label wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Show all posts

Saturday, June 25, 2016

WAFANYAKAZI HOSPITALI YA MUHIMBILI WAFANYA USAFI KUTEKELEZA AJIZO LA RAIS.

Ikiwa Jumamosi hii ya Juni 25, ni ya mwisho wa mwezi wafanyakazi wa hospitali ya Taifa ya Muhimbili watekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, John Pombe Magufuli kwa kufanya usafi katika sehemu mbalimbali za hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam .
 Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakifanya usafi  ikiwa ni kutekeleza agizo la rais la kufanya usafi kila mwishoni mwa mwezi.