Rais wa Jahuri ya Kenya Mh. Uhuru Kenyatta akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mh Raila Odinga wakati alipomkaribisha Ikulu kwa Chakula cha Mchana na Mazungumzo katika Ikulu ya Nairobi kwa mwaliko wa Ikulu ambapo viongozi wa Chama cha CORD walialikwa kwa ajili ya maadhimisho ya sherehe za siku ya Mdaraka (Madaraka Day)inayotarajiwa kufanyika kesho mjini Nakuru nchini humo, Kulia ni Makamu wa Rais wa Kenya Mh. William Ruto na Kushoto ni Gavana Mosess Watangula.
Wednesday, June 01, 2016
RAIS UHURU KENYATTA AKUTANA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU RAILA ODINGA KATIKA IKULU YA NAIROBI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment