Friday, June 24, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOKABIDHIWA TAARIFA YA UCHAGUZI MKUU WA 2015 IKULU JIJINI DAR.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damiani Lubuva wakiwa wameinua juu vitabu vya Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2015 wakati mwenyekiti huyo alipomkabidhi Rais taarifa hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam 
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva akimkabidhi Rais Dkt John Pombe Magufuli Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwa uliofanyika Novemba 25, 2015 Ikulu jijini Dar es Salaam .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na hadhira baada ya kukimkabidhiwa Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Novemba 25, 2015 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waalikwa wa hafla ya hafla ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kukabidhiwa Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwa uliofanyika Novemba 25, 2015.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) akizungumza jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Ernest Mangu wakati wakisubiri Rais Dkt. John Pombe Magufuli kukabidhiwa Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Novemba 25, 2015 na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wa dini waliohudhuria hafla ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumkabidhi Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Novemba 25, 2015 , Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Mwanasheria Mkuu Mstaafu Jaji Mstaafu Mark Boman akiteta jambo na Mkurugenzi wa Uchaguzi Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Rajab Kiravu kwenye hafla ya tume hiyo kumkabidhi Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Novemba 25, 2015 na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Mabalozi waliohudhuria hafla ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumkabidhi Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Novemba 25, 2015, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) akiwa na Wakuu wa Vikosi vya Majeshi, Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Ernest Mangu, na Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Rashid Othman, Kamishna Jenerali wa Magereza John Minja, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Mstaafu Valentino Mlowola na Kamishna wa Uhamiaji (Sheria) Said Kamugisha wakiwa kwenye hafla ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kukabidhiwa Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Novemba 25, 2015 na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Philip Mangula akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima (AFP) Said Soud Said ambaye ni Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati walipohudhuria hafla ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumkabidhi Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Novemba 25, 2015 na iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akifurahia jambo na Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Rashid Othman.Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John William Kijazi.
Baadhi ya viongozi wa vyama vya Siasa waliohudhuria hafla ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumkabidhi Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Novemba 25, 2015, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Ernest Mangu, wakati akiwasili kwenye ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam kuhudhuria hafla ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kukabidhiwa Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Novemba 25, 2015 na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iliyofanyika leo.Kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali Davis Mwamunyange na kushoto kwa IGP ni Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Rashid Othman, Kamishna Jenerali wa Magereza John Minja, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)Kamishna Mstaafu Valentino Mlowola na Kamishna wa Uhamiaji (Sheria) Said Kamugisha.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali Davis Mwamunyange akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda walipohudhuria hafla ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kukabidhiwa Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Novemba 25, 2015 na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.Katikati ni Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Ernest Mangu.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein kabla ya hafla ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kukabidhiwa Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Novemba 25, 2015 na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa tume hiyo Jaji Mstaafu Damian Lubuva. 
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akialimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Ikulu kukabidhiwa Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Novemba 25, 2015 na Tume ye Taifa ya Uchaguzi (NEC) huku Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi(aliyevaa kanzu) akishuhudia.Wanaofuata kulia ni Mawaziri Wakuu Wastaafu Dkt. Salim Ahmed Salim na Jaji Mstaafu Joseph Warioba na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ramadhani Kailima akiwasilisha kwa ufupi kilichomo kenye Taarifa ya Uchaguzi Mkuu 2015.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli (wa pili kulia) akiwaongoza viongozi wenzake kuimba wimbo wa Taifa baada ya kukimkabidhiwa Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Novemba 25, 2015 Ikulu jijini Dar es Salaam leo.Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na baadhi ya wageni waliohudhuria hafla ya kukabidhiwa Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (katikati waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mabalozi Wanaoziwakilsisha Nchi zao hapa nchini na wawakilisha wa Taasisi za Kimataifa.Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa NEC Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid.Picha zote na Hussein Makame-MAKAME

No comments:

Post a Comment