Showing posts with label Mwakilishi wa Shule ya Msingi ya Mtoni. Show all posts
Showing posts with label Mwakilishi wa Shule ya Msingi ya Mtoni. Show all posts

Tuesday, June 21, 2016

SHULE ZA MSINGI KATIKA MANISPAA YA TEMEKE ZAANZA KUPOKEA MADAWATI

Mkuu wa Wilaya ya TEMEKE, Bi Sophia Mjema akikabidhi Dawati kwa Mwakilishi wa Shule ya Msingi ya  Mtoni kama Ishara ya kuanza Kupokea Madawati ndani ya Manispaa ya Temeke, ambapo Madawati mengine 50  yatatolewa na Kampuni ya African.