Mkuu wa Wilaya ya TEMEKE, Bi Sophia Mjema akikabidhi Dawati kwa Mwakilishi wa Shule ya Msingi ya Mtoni kama Ishara ya kuanza Kupokea Madawati ndani ya Manispaa ya Temeke, ambapo Madawati mengine 50 yatatolewa na Kampuni ya African.
Wakuu wa Idara mbalimbali wa Manispaa za jiji la Dar es Salaam wakiapa kiapo cha mkataba wa kutafuta watumishi hewa katika manispaa za jijini la Dar es Salaam leo walipo apishwa na mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.