Showing posts with label Rais Magufuli. Show all posts
Showing posts with label Rais Magufuli. Show all posts

Friday, June 24, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOKABIDHIWA TAARIFA YA UCHAGUZI MKUU WA 2015 IKULU JIJINI DAR.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damiani Lubuva wakiwa wameinua juu vitabu vya Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2015 wakati mwenyekiti huyo alipomkabidhi Rais taarifa hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam 

Friday, June 03, 2016

UWEKAJI JIWE LA MSINGI UJENZI WA MAKTABA YA KISASA, CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Mukandala, Balozi wa China hapa nchini lu you Qing, maafisa wa kampuni ya Kutoka China ya Jiangsu Jiangdu wakiweka mchanga kama ishara ya kuweka jiwe la msingi katika Maktaba Mpya ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam UD mara baada ya kuwasili chuoni hapo. Maktaba hiyo itakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 2000 kwa wakati mmoja.

Monday, May 23, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU NA JAJI MKUU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo na Rais Dkt. Magufuli.

Friday, May 06, 2016

RAIS MAGUFULI AWAONYA WALIOFICHA SUKARI,ATISHIA KUICHUKUA SUKARI HIYO NA KUIGAWA BURE KWA WANANCHI


Rais Dkt.John Pombe  Magufuli amewaonya aalioficha Sukari na kutishia  Kuichukua Sukari hiyo na Kuigawa Bure Kwa Wananchi.Rais Magufuli ametoa onyo kali kwa wafanyabiashara walioficha sukari ili baadae waiuze kwa bei  ya juu.

Thursday, May 05, 2016

Monday, May 02, 2016

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DKT. ALI MOHAMED SHEIN AAPISHWA KUWA MJUMBE WA BARAZA LA MAWAZIRI:

 Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri ili aweze kushiriki na kutekeleza majukumu yake kwenye Baraza hilo huku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia tukio hilo katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma.