Showing posts with label Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali Davis Mwamunyange. Show all posts
Showing posts with label Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali Davis Mwamunyange. Show all posts

Friday, June 24, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOKABIDHIWA TAARIFA YA UCHAGUZI MKUU WA 2015 IKULU JIJINI DAR.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damiani Lubuva wakiwa wameinua juu vitabu vya Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2015 wakati mwenyekiti huyo alipomkabidhi Rais taarifa hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam