Basi la Kampuni ya BM linavyoonekana baada ya kupata ajali katika eneo la Mikese Mkoani Morogoro chanzo cha ajali hiyo inadaiwa ni mwendo kasi wa Basi hilo uliopelekea kushindwa kusimama.
KAMANDA WA MOROGORO RPC -LEONARD PAUL.……………………………………………………….
Tarehe 22/01/2016 majira ya 2130hrs huko eneo la Lubungo Tarafa ya Mikese
Wilaya na Mkoa wa Morogoro barabara ya Morogoro/d,Salaam gari yenye namba za
usajili T. 916 BQX YUTONG BUS mali ya kampuni ya BM COACH iliyokuwa ikiendeshwa
na Aloyce s/o William, 39yrs, Mkaguru, mkazi wa Morogoro ikitokea D’salaam
kuelekea Morogoro iligonga Ubavuni mwa gari yenye namba za usajili T. 184
CGX/T. 859 CXB FAW LORI iliyokuwa ikiendeshwa dereva asiyefahamika jina
alikimbia baada ya ajali, iliyokuwa ikitokea Morogoro kuelekea D,salaam na
kusababisha vifo kwa watu wawili waliokuwa wakisafiri kwa bus; Capten D.G
Minga, 35yrs, mkazi wa SKM Mgulani DSM (2) mwanaume ambaye hajatambulika, umri
kati ya miaka 35 – 45 na majeruhi kwa watu arobaini na tatu waliokuwa
wakisafiri kwa bus hilo na majeruhi thelathini na tatu; Vedastiani d/o
Bishagoma, 22yrs, Mhaya, mkazi wa Msasani DSM, Samsoni s/o Jeru, 36yrs, Mchaga,
mkazi wa Ubungo DSM, Hadija d/o Omari, 28yrs, Mhehe, mkazi wa Tegeta DSM,
Wifrida d/o Bernard, 22yrs, Mfipa, Askari JWTZ Lugalo, mkazi wa D,Salaam,
Silvester s/o Sangayau, 38yrs, Mpogoro, mkazi wa Itete, Mwasiti d/o Sultan,
42yrs, Mkutu, mkazi Tabata, Joyce d/o Edward, 32yrs, Muha, mkazi wa Geita,
Brayson s/o Chakiuke, 2yrs, Muha, mkazi wa D,salaam, Haridi s/o Siraji , 34yrs,
Mpogoro, mkazi wa Modeco, Flora d/o Mganga, 38yrs, Mluguru, mkazi wa Modeco,
Msungi d/o Hamisi, 30yrs, Mnyiramba, Kurasini DSM, Mathar d/o Robin, 49yrs,
Mchaga, mkazi wa Nanenane, Yasinta d/o Severini, 38yrs, Mluguru, mkazi wa
Kihonda, Baturi d/o Bakari, 35yrs, mkazi wa Mafisa , Mkurya, mkazi wa Mafisa,
Edwini s/o Ishuba, 22yrs, Mchaga, mkazi wa Kihonda, Juma s/o Chota, 27yrs,
Mluguru, mkazi wa Karume Morogoro, Flora d/o Bernard, 22yrs, Mmakonde, mkazi wa
Mafisa, Greyson s/o Chagawa, 58yrs, Mpare, mkazi wa Ubungo DSM, Jamila d/o
Matola , 25yrs, Vituka DSM, Mwiyao, mkazi wa Yombo Vituka DSM, Francis s/o
Chua, 26yrs, Mchaga, mkazi wa Bigwa, Grayson s/o Eliniki , 44yrs, Mpare, mkazi
wa Mafiga, Endrew s/o Shaula, 54yrs, Mnyiramba, mkazi wa Tanga, Christopher s/o
Masele, 39yrs, Msukuma, mkazi wa Kihonda Magorofani, Peter s/o Agostine Mushi,
42yrs, Mchaga, mkazi wa Vibandani, Rose d/o Michael, 26yrs, Mchaga, mkazi wa
Modeco, Wema d/o Tewele. 31yrs, Mbena, mkazi wa Kihonda, Joyce d/o Abisasi,
25yrs, Mjaluo, mkazi wa Morogoro, Saidi s/o Mnyimba, 47yrs, Mluguru, mkazi wa
Tabata DSM, Jerani s/o Seif , 37yrs, Mluguru, mkazi wa Kinole, Robert s/o Muba,
46yrs , Mndali, mkazi wa Forest, Hanuari s/o Bakari , 19yrs , Msambaa , mkazi
wa Forest, Anither d/o Temu, 39yrs , Mchaga, mkazi wa Bunju DSM , Scolastika
d/o Aleni, 24yrs, Msambaa, mkazi wa Mabibo DSM na Bank s/o Omari, 48yrs,
Mluguru, mkazi wa Mwembesongo hawa wamelazwa hospitali ya Mkoa wa Morogoro ward
namba moja na namba tatu na majeruhi tisa walitibiwa na kuruhusiwa hospitalini
hapo. Chanzo cha ajali ni mwendokasi wa gari T. 916
BQX YUTONG BUS.mtuhumiwa amekamatwa.
RPC MOROGORO
BQX YUTONG BUS.mtuhumiwa amekamatwa.
RPC MOROGORO
No comments:
Post a Comment