Showing posts with label Zitto Kabwe. Show all posts
Showing posts with label Zitto Kabwe. Show all posts

Tuesday, June 14, 2016

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM KUPINGA KONGAMANO LA ACT WAZALENDO

DAR ES SALAAM
Jeshi la polisi kanda maalum ya dar  es salaam limepinga kongamano lililo pangwa kufanyika katika ofisi za chama cha act wazalendo  yaliyo andaliwa na kiongozi wa chama hicho Mh Zito Zuberi Kabwe kwa kusema maandamano hayo uweza kuchochea uvunjifu wa amani.

VICTORIA MUNGURE

Tuesday, April 26, 2016

RAIS MAGUFULI BADO HAJAGUSA KANSA YA UFISADI


Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amemtaka Rais John Magufuli kukabiliana na vikundi vya mafisadi vinavyoiba mabilioni ya fedha za umma kupitia mikataba mibovu waliyoingia badala ya kuishia kutumbua majipu. 
 
Akizungumza katika mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama chake jana, Zitto alisema ACT Wazalendo inaunga mkono jitihada za Rais Magufuli katika kupambana na ufisadi, lakini bado hajagusa kiini chenyewe.