Showing posts with label Askofu Josephat Gwajima. Show all posts
Showing posts with label Askofu Josephat Gwajima. Show all posts

Friday, June 17, 2016

POLISI WAMUWINDA ASKOFU GWAJIMA KWA MASAA 7 BILA MAFANIKIO........NI BAADA YA KUSAMBAA KWA SAUTI INAYOSADIKIKA NI YAKE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII AKIMSEMA VIBAYA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE:

Polisi walipiga kambi kwa saa saba kwenye geti la nyumba ya Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, wakitaka kumkamata bila ya mafanikio. 

Polisi hao walikuwa kama wageni wa askofu huyo wakisubiri wafunguliwe geti, kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 10:10 jioni walipoamua kuondoka wakitumia gari aina ya Toyota Landcruser lenye namba za kiraia, ambalo kwa muda wote huo lilikuwa limeegeshwa pembeni mwa geti hilo.

Thursday, June 16, 2016

ASKOFU GWAJIMA ATETA NA FAMILIA YAKE YA UFUFUO NA UZIMA JUU YA UONGOZI WA CCM KUMPATA MWENYEKITI.

Askofu Mkuu wa kanisa la Ufufuo Na Uzima Dr. Josephat Gwajima afunguka na kusema maovu, yaliotendwa na Serikali ya awamu ya nne . 

Pamoja na hayo Askofu Gwajima amempa ushauri Mh. Magufuli kuhusu sakata/mpango unao-endeshwa na vigogo wakubwa, chini kwa chini wa kumnyima uenyekita wa chama katika chama cha mapinduzi (CCM).

Kutokana na kauli yake ambayo amesikika akisema lisema kuwa kuna mpango wa baadhi ya viongozi wa chama hicho wanaoendesha kampeni ya kusema kuwa sio lazima uwe raisi na kuwa mwenyekiti wa chama.