Tuesday, May 31, 2016

SERIKALI YA CHINA YATOA MSAADA WA MADAWATI YA TSH MILIONI 20,

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida Martha Mlata ambaye ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida (kulia) akimkabidhi zawadi ya boga kubwa lenye zaidi ya kilo 7 balozi wa china nchini Tanzani Dr Lu Yong,ng baada ya kufanya ziara wilaya ya Iramba mkoa wa Singida na kutoa msaada wa madawati 400 yenye thamani ya Tsh milioni 20 , kushoto ni waziri wa Kilimo ,mifugo na uvuvi Bw Mwigulu Nchemba ambae ni mbunge wa Iramba pia akiwa ameshika boga la zawadi kwa balozi huyo( picha na matukiodaimaBlog) .
Wananchi wa kijiji cha Misigili wakiandaa zawadi kwa ajili ya balozi wa China alipotembelea kijiji hicho kutoa msaada wa madawati .
Waziri wa Kilimo ,mifugo na uvuvi Bw Mwigulu Nchemba kulia na mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida martha Mlata wakikabidhi zawadi ya boga kubwa lenye kilo zaidi ya 7 kwa balozi wa China nchini Dr Lu Yong,ng 
Waziri wa Kilimo ,mifugo na uvuvi Bw Mwigulu Nchemba kulia na mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida martha Mlata wakikabidhi zawadi ya boga kubwa lenye kilo zaidi ya 7 kwa balozi wa China nchini Dr Lu Yong,ng 
Balozi wa China Nchini Dr Lu Yong,ng akifurahia zawadi alizopewa za viazi utamu ,maboga na mafuta ya Alizeti kushoto ni waziri wa Kilimo ,Mifugo na uvuvi Bw Mwigulu Nchemba hapa ni kijiji cha Misigili wilaya ya Iramba mkoani Singida 
Balozi wa China nchine Dr Lu Yong,ng akifurahia zawadi alizopewa ,kulia ni mbunge Martha Mlata.

No comments:

Post a Comment