Friday, May 20, 2016

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA RIPOTI YATOLEO LA NANE LA UCHUMI TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya uungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassanakizungumza na Mkurugenzi mkaazi wa Benki ya Dunia Madame Bella Bird baada ya uzinduzi wa ripoti yatoleo la nane 8kuhusu hali ya uchumi Tanzania uliofanyika tarehe 20/05/2016 kwenye hotel ya Hyatt Begency,jijini Dar es salaam.

MIA2Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye uzinduzi wa ripoti ya Toleo la nane 8 kuhusu hali ya Uchumi  Tanzania uliofanyika leo tarehe 20/5/2016 katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es salaam.
MIA3Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Makamu wa Rais picha hayupo wakati  wa uznduzi wa ripoti ya toleo la nane 8 kuhusu hali ya uchumi wa Tanzania uliofanyika leo tarehe 20/05/2016 .kwenye hotel ya Hyatt Begency jijini Dar es salaam.[Picha na OMR]

No comments:

Post a Comment