Tuesday, May 17, 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA, DKT. ASHA- ROSE MIGIRO:


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt. Asha – Rose Migiro kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwake jijini Dar es salaam Mei 17, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt. Asha – Rose Migiro ofisini kwake jijini Dar es salaam Mei 17, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment