Thursday, May 19, 2016

WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR AWASILISHA HOTUBA YA BAJET YA MWAKA 2016/2017

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk.Khalid Salum Mohammed akionesha mkoba wenye Bajeti ya Serikali ya Zanzibar ya mwaka wa Fedha 2016/2017 wakati alipokuwa akiingia Baraza la Wawakilishi kwa kuiwasilisha Bajeti hiyo.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk. Khalid Salum Mohammed akiwasilisha Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa mwaka wa Fedha 2016/2017 katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Baadhi ya Mabalozi wadogo wanaowakilishi nchi zao Zanzibar wakisikiliza Hotuba ya Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk.Khalid Salum Mohammed kuhusu mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Serekali kwa mwaka wa Fedha 2016/2017.
Wajumbe wa Baraza la wawakilishi wakifuatilia Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mwaka wa Fedha 2016/2017 wakati Waziri wa Fedha na Mipango Dk.Khalid Salum alipokuwa akiwasilisha Hutuba hiyo. Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar. Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment