Wednesday, May 18, 2016

WALIOMBAKA BINTI MKOANI MOROGORO WAFIKISHWA MAHAKAMANI


Watuhumiwa na tukio la ubakaji na udhalilishwaji lililofanywa na wanaume wawili dhidi ya mwanamke mmoja, ambaye alipigwa picha na kusambazwa katika mitandao ya kijamii lililotokea Dakawa,Morogoro wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mfawidhi wa mkoa wa Morogoro mapema leo asubuhi kujibu shtaka linalowakabili.

No comments:

Post a Comment