Tuesday, April 05, 2016

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) LATOA UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA GHARAMA ZA UMEME NCHINI:

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),Decklan Mhaiki (kulia) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) Dar es Salaam kuhusu malipo ya sasa ya gharama za Umeme nchini.Mwengine ni Kaimu Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Wateja,Leila Muhaji.
Kaimu Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Wateja,Leila Muhaji.akiwakaribisha waandishi kwenye mkutano.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),Decklan Mhaiki (katikati) akizungumza.Wengine ni Kaimu Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Wateja,Leila Muhaji (kushoto) na Katibu wa Mkurugenzi Mtendaji,Pius Gaspar.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),Decklan Mhaiki(kushoto) akizungumza na waandishi.Mwengine ni Katibu wa Mkurugenzi Mtendaji,Pius Gaspar.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa kazini.222

No comments:

Post a Comment