Kaimu Mtendaji Mkuu wa TEMESA Mhandisi Manase Ole Kujan akifungua kikao cha maafisa usafirishaji wa Wizara,Idara na Taasisi mbalimbali za Serikali kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Uzalishaji na Matengenezo TEMESA Mhandisi Silivester Simfukwe na kulia ni Mhandisi Elirehema Mmari.
Kaimu Mkurugenzi wa Uzalishaji na Matengenezo TEMESA Mhandisi Silivester Simfukwe akizungumza na maafisa usafirishaji wa Wizara,Idara na Taasisi mbalimbali za Serikali katika kikao kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam kushoto ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa TEMESA Mhandisi Manase Ole Kujan.
Baadhi ya cha maafisa usafirishaji wa Wizara,Idara na Taasisi mbalimbali za Serikali wakifatilia kikao kati yao na Wakala wa Umeme na Ufundi(TEMESA) kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Picha zote na Theresia Mwami-TEMESA).
No comments:
Post a Comment