Friday, April 15, 2016

MLATA: SERIKALI UWEKE NA KUWA NA MKAKATI WA UZAZI WA MPANGO

Kufahamu kuwa serikali imewaka mkakati juu ya suala la uzazi maana unakuta kwa muda mrefu mama ambaye anaishi kijijini anakuwa na mtoto kila mwaka na wakati mwingine anashindwa kufanya kazi kutokana na uzazi wa kila mara.sasa ni wajibu wa serikali kuweka mkakati ili watoto wanaozaliwa kuwepo na mkakati wa kuwasaidia kupata elimu na matumizi bora.

No comments:

Post a Comment