Thursday, April 14, 2016

MSEMAJI WA CHAMA CHA MAPINDUZI BWANA CHRISTOPER OLE SENDEKA AFANYA ZIARA KATIKA MKOA WA KILIMANJARO:

OLE SENDEKA AWASILI KILIMANJARO LEO

Msemaji wa CCM, Cheristopher Ole Sendeka akizungumza na wajumbe wa Sekretarieti ya CCM wilaya za mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuwasili akiwa katika ziara ya kikazi leo.
Msemaji wa CCM, Cheristopher Ole Sendeka akizungumza na wajumbe wa Sekretarieti ya CCM wilaya za mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuwasili akiwa katika ziara ya kikazi. Picha na Bashir Nkoromo).
Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiiingia ukumbini kuzungumza na wajumbe wa Sekretarieti ya CCM kutoka wilaya za mkoa wa Kilimanjaro.
Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM kutoka wilaya za mkoa wa Kilimanjaro wakimpokea Ole Sendeka alipoingia ukumbini
Ole Sendeka baada ya kuingia ukumbini
Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ukumbini kuzungumza na wajumbe wa Sekretarieti ya CCM kutoka wilaya za mkoa wa Kilimanjaro.
Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ukumbini kuzungumza na wajumbe wa Sekretarieti ya CCM kutoka wilaya za mkoa wa Kilimanjaro.
Wajumbe wakiwa ukumbini kusmikiliza Ole Sendeka.
Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Deogratius Ruta alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro, mjini Moshi.
Mjumbe wa NEC na Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Mawasilino na Umma Makao Makuu ya CCM, Kilumbe Ng'enda akisalimiana na Mwenyekiti wa CCN mkoa wa Kilimanjaro Iddi Juma alipowasili na Sendeka, Ofisi ya CCM mkoa huo. Katikati ni Mkuu wa Wialaya ya Moshi Novatus Makunga
Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Juma Iddi alipowasili katika Ofisi ya CCM mkoa huo leo kuanza ziara ya kikazi. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Moshi Novatus Makunga.

No comments:

Post a Comment