Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt.Abduhamid Yahya Mzee kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Ndugu,Salum Maulid Salum kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd, Joseph Abdalla Meza kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt.Juma Malik Akili kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibarleo jioni,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Mustafa Aboud Jumbe kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Juma Ali Juma kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Omar Hassan Omar kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt.Mwatima Ameir Issa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt.Jamala Adam Taib kuwa Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya wakati wa hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd, Shomari Omar Shomari kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Mawasilianona Usafirisahaji katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment