Kaimu Kamishna wa Madini nchini,Mhandisi Ally Samaje akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo,alisistiza nia ya serikali kupambana na utoroshwaji wa madini nje ya nchi. |
Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Nishati na Madini wakiwa kwenye maonesho ya madini jijini Arusha. |
Wadau wa sekta ya madini wakimsikiliza Mkuu wa wilaya. |
|
Wanunuzi wa madini wakiangalia aina mbalimbali za madini kabla ya kununua. |
Madini aina ya Tanzanite |
Madini ya aina mbalimbali ambayo ni kati ya yanayooneshwa kwaajili ya kutafutiwa soko. |
Mkurugenzi wa kampuni ya Ruvu Gemstone Mining Company Limited,Dimitris Mantheakis(kushoto)akiwa na wateja wanaongalia aina za madini.
Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com,Arusha
|
No comments:
Post a Comment