Showing posts with label hotel ya Hyatt Begency. Show all posts
Showing posts with label hotel ya Hyatt Begency. Show all posts

Friday, May 20, 2016

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA RIPOTI YATOLEO LA NANE LA UCHUMI TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya uungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassanakizungumza na Mkurugenzi mkaazi wa Benki ya Dunia Madame Bella Bird baada ya uzinduzi wa ripoti yatoleo la nane 8kuhusu hali ya uchumi Tanzania uliofanyika tarehe 20/05/2016 kwenye hotel ya Hyatt Begency,jijini Dar es salaam.