Showing posts with label Mkuu wa Wialaya ya Moshi Novatus Makunga. Show all posts
Showing posts with label Mkuu wa Wialaya ya Moshi Novatus Makunga. Show all posts

Thursday, April 14, 2016

MSEMAJI WA CHAMA CHA MAPINDUZI BWANA CHRISTOPER OLE SENDEKA AFANYA ZIARA KATIKA MKOA WA KILIMANJARO:

OLE SENDEKA AWASILI KILIMANJARO LEO

Msemaji wa CCM, Cheristopher Ole Sendeka akizungumza na wajumbe wa Sekretarieti ya CCM wilaya za mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuwasili akiwa katika ziara ya kikazi leo.
Msemaji wa CCM, Cheristopher Ole Sendeka akizungumza na wajumbe wa Sekretarieti ya CCM wilaya za mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuwasili akiwa katika ziara ya kikazi. Picha na Bashir Nkoromo).