Friday, March 18, 2016

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YATEMBELEA TASAF NA TUME YA UTUMISHI WA UMMA:

Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Mendeleo ya Jamii (TASAF) Bw. Ladislaus Mwamanga akiwasilisha mada ofisini kwake wakati wa kikao na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akitoa mchango wake wakati wa kikao kati ya Tume ya Utumishi wa Umma na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa . 
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akifuatilia mada wakati wa kikao kati ya Tume ya Utumishi wa Umma na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kilichofanyika ofisi za Tume . 
Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma Jaji Mstaafu Bw.Steven Bwana (wa pili kutoka kulia) akieleza baadhi ya changamoto za kazi kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa .
Mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Ruth Mollel (Mb) akitoa mchango wake wakati wa kikao katika ofisi za Tume ya Utumishi wa Umma na Kamati hiyo.
 Mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa akitoa mchango wake wakati wa kikao kati ya Tume ya Utumishi wa Umma na Kamati hiyo kilichofanyika ofisi za Tume mapema leo.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akitoa mchango wake wakati wa kikao kati ya Tume ya Utumishi wa Umma na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kilichofanyika ofisi za Tume mapema.

No comments:

Post a Comment