Showing posts with label Mfuko wa Mendeleo ya Jamii (TASAF) Bw. Ladislaus Mwamanga. Show all posts
Showing posts with label Mfuko wa Mendeleo ya Jamii (TASAF) Bw. Ladislaus Mwamanga. Show all posts

Friday, March 18, 2016

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YATEMBELEA TASAF NA TUME YA UTUMISHI WA UMMA:

Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Mendeleo ya Jamii (TASAF) Bw. Ladislaus Mwamanga akiwasilisha mada ofisini kwake wakati wa kikao na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akitoa mchango wake wakati wa kikao kati ya Tume ya Utumishi wa Umma na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa .