Mwandishi aliyewakilisha kituo cha redio cha Sauti ya Ujerumani (Deutsche Welle) visiwani Zanzibar Salma Said na ambaye alitoweka Ijumaa, amepatikana.
Kamanda wa polisi wa Dar Simon Siro amethibitisha kupatikana kwa mwanahabari huyo na kusema kuwa anaendelea vizuri.
Akizungumza na mtangazaji wa wapo redio David Gille kamanda Siro alisema kuwa Salma amepatikana akiwa mzima na uchunguzi unaendelea kubaini watu waliomteka.
No comments:
Post a Comment