Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson kizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati Kamati hiyo ilipokutana na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza Meneja Mahusiano wa EWURA Bw Titus Kaguo wakati walipomtemblea Ofisini kwake kati kati ni Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Bw. Felix Mgamlagosi (Picha na Ofisi ya Bunge)
Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akifuatilia Mjadala kati ya Wajumbe wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa alipoitembelea kamati hiyo. Anayezungumza kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Balozi Adadi Rajabu na (kulia mwenye tai yekundu) ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Charles Kitwaga.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Bw. Felix Mgamlagosi aliyemtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment