Katika Kutekeleze haki ya Kupiga Kura Tumeshuhudia viongozi
mbali mbali na wananchi wakishiriki katika Uchaguzi Mkuu wa
Marudio Zanzibar
Mh Dk Ali Mohammed Shein Rais wa Zanzibar Alishiriki Kupiga Kura yake Mkoa Kusini Wilaya ya Kati Katika Kituo cha Skuli ya Kibele, Makamo wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan alipiga kura yake Kiembesamaki , Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi Alipiga kura yake katika Jimbo la Mahonda Upigaji wa Kura huo ulikwenda kwa salama na Amani na wananchi mbali mbali wamejitokeza kwa wingwi katika Kutumia haki yao hiyo
Viongozi wengine ni Rais Mstaafa Aman Karume , Mke wa Rais Mstaafu Hayati Abeid Aman Karume pamoja na Balozi Ali Karume Kujumla zoezi la kupiga kura limefanikiwa kwa kiasi kikubwa Zanzibar
Viongozi wengine ni Rais Mstaafa Aman Karume , Mke wa Rais Mstaafu Hayati Abeid Aman Karume pamoja na Balozi Ali Karume Kujumla zoezi la kupiga kura limefanikiwa kwa kiasi kikubwa Zanzibar
Rais Mstaafu Aman Abeid Karume Akitumia Haki yake ya Kupiga Kura
Makamo wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan Akizungumza na waandishibaada ya Kupiga Kura
Mh Balozi Ali Karume Akipiga Kura yake
Mh Makame wa pili wa Rais Akizungumza na waandishi wa Habari Baada ya Kupiga Kura yake
No comments:
Post a Comment