Uzembe wa Madereva wawapo bararani umeingiza zaidi ya milion 500 kwa jeshi la polisi kanda maalum kupitia kitengo cha usalama barabarani,Polisi Kanda maalum DSM kupitia kitengo cha Usalama Barabarani kimefanikiwa kukamata magari mbali mbali kwa makosa ya usalama barabarani jumla ya Tshs 577,831,000/= zimekusanywa ikiwa ni tozo kwa makosa hayo. Aidha madereva wametakiwa kuwa waangalifu pindi wawapo bararani ili kuepuka adhabu zitolewazo ili vipatao hivyo viwasaidie katika maisha yao ya kila siku. Kamanda Siro akitoa taarifa ya makosa ya usalama barabarani
No comments:
Post a Comment