Kamishna wa Ardhi Msaidizi Bw. Nathaniel Methew akiwaeleza waandishi wa Habari leo Jijini Dar es salaam kuhusu kuboreshwa kwa mifumo ya utoaji huduma kwa wananchi kwa kuongeza matumizi ya TEHAMA hali iliyochangia kuongeza tija kupitia kituo cha huduma kwa mteja kilichopo Makao Makuu ya Wizara hiyo na Katika Ofisi zote za Kanda.kushoto ni Msajili wa Hati Msaidizi
Msajili wa Hati Msaidizi toka Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Apollo Laizer akitoa wito kwa wananchi kuzingatia sheria na kanuni wanapotaka kumiliki Ardhi ili kuepusha migogoro ya Ardhi. Kulia ni Kamishna wa Ardhi Msaidizi Bw. Nathaniel Methew.
No comments:
Post a Comment