Wednesday, July 06, 2016

WAZIRI MKUU KASSI MAJALIWA AONGOZA WAUMINI WA KIISLAM KATIKA SWALA YA EDD-EL-FITR VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisoma hotuba fupi mbele ya Waumini wa Dini ya Kiislam (hawapo pichani) waliojitokeza kwa wingi katika swala ya Eid El Fitr iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Mufti wa Tanzania, Alhaj Sheikh Abubakary Zubeir akitoa neno mbele ya Waumini wa Dini ya Kiislam (hawapo pichani) waliojitokeza kwa wingi katika swala ya Eid El Fitr iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.



Waumini wa dini ya Kiislam wakiswali swala ya Eid El Fitr iliyoswaliwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijumuika pamoja na Waumini wengine wa Dini ya Kiislam, akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (wa pili kulia), Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh.Ally Hapi,katika swala ya Eid El Fitr iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijumuika pamoja na Waumini wengine wa Dini ya Kiislam, akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (wa pili kulia), Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhaj Mussa Salum pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh.Ally Hapi,katika swala ya Eid El Fitr iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijumuika pamoja na Waumini wengine wa Dini ya Kiislam, akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (wa pili kulia), Mufti wa Tanzania, Alhaj Sheikh Abubakary Zubeir (katikati), Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhaj Mussa Salum pamoja na Naibu Mufti, Sheikh Hamid Jongo katika swala ya Eid El Fitr iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwaaga waumini wa dini ya Kiislam wakati akiondoka viwanjani hapo mara baada ya kuisha kwa swala ya Eid El Fitr iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akipokelewa na baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislam akiwepo na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhaj Mussa Salum alipokuwa akiwasili katika viwanja vya mnazi mmoja mapema leo jijini Dar kuhudhuria swala ya Eid El Fitr iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokelewa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhaj Mussa Salum alipokuwa akiwasili katika viwanja vya mnazi mmoja mapema jijini Dar kuhudhuria swala ya Eid El Fitr iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam, ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Dini ya Kiislam mara baada ya kuwasili katika viwanja vya mnazi mmoja mapema jijini Dar kwa ajili ya kuhudhuria swala ya Eid El Fitr iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan. PICHA NA MICHUZI JR

No comments:

Post a Comment