Balozi wa Korea, Song, Geum-young akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Museru baada ya balozi huyo kumtembelea mkurugenzi huyo LEO. Mazungumzo hayo yalihusu maendeleo ya hispitali hiyo.Picha na John Stephen, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa Museru akitoa historia fupi ya MNH kwa Balozi Korea, Song, Geum-young.
Kutoka kulia ni Mkuu wa Idara ya Mionzi, Dk Flora Lwakatare, Mkuu wa Idara ya Upasuaji, Dk Julieth Magandi na Mkurugenzi wa Uuguzi, Sister Agnes Mtawa wakifuatilia mazungumzo katika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa MNH.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma, Aminiel Aligaesha (kushoto), Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali (EMD), Dk Juma Mfinanga (katikati) na Mkuu wa Idara ya Watoto, Merry Charles wakifuatilia mazungumzo hayo. Balozi wa Korea, Song, Geum-young akisaini kitabu cha wageni.
No comments:
Post a Comment