Kamanda wa Polisi mkoa Singida Thobias Sedoyeka amethibitisha kuwa ajali ya basi T 531 BCE likitokea Dar es salaam kwenda Kahama na T 247 linattoka Kahama kwenda Dar es salaam yote ya kampuni moja CITY BOYS yamegongana uso kwa uso na kuuwa abiri abiria wengi papo hapo na kujeruhi wengine.
No comments:
Post a Comment