Showing posts with label Mufti wa Tanzania. Show all posts
Showing posts with label Mufti wa Tanzania. Show all posts

Wednesday, July 06, 2016

WAZIRI MKUU KASSI MAJALIWA AONGOZA WAUMINI WA KIISLAM KATIKA SWALA YA EDD-EL-FITR VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisoma hotuba fupi mbele ya Waumini wa Dini ya Kiislam (hawapo pichani) waliojitokeza kwa wingi katika swala ya Eid El Fitr iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Saturday, March 26, 2016

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, PAUL MAKONDA AOMBEWA DUA NA MUFTI WA TANZANIA:

 Mufti wa Tanzania, Abubakar Zubery (wa pili kushoto), akimuombea dua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (katikati), Dar es Salaam leo asubuhi. Kutoka kulia ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum, Mshauri Mkuu wa Mufti, Sheikh Abubakar Khalid na Msaidizi wa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Othman Mkambaku.
 Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum (kulia), akizungumza na wanahabari kabla ya kufanyika dua hiyo. Kushoto ni Mshauri Mkuu wa Mufti, Sheikh Abubakar Khalid.
 Mufti Zubery, akifanya mazungumzo na Makonda.