Tuesday, July 12, 2016

WAZIRI MKUU AWAFUNDA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZOTE.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mkutano ulioitishwa  na Rais John Magufuli kwa Wakurugenzi wa Halmashauri zote za wilaya na baadhi ya Wakuu wa  wilaya  ikulu jijini Dar es salaam Julai 12, 2016. 
(PiCha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment