WAPO REDIO NURU YA JAMII

Monday, October 31, 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI NCHINI KENYA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS UHURU KENYATTA, OKTOBA 31,2016

unnamed-2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Kenya.
Read more »
Posted by Unknown at 7:34 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: eneo la kaburi hilo la Muasisi na Rais wa Kwanza wa Kenya Maremu Mzee Jomo Kenyatta jijini Nairobi, Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta

TAARIFA YA SPIKA WA BUNGE OKTOBA 31,2016


1:03 / 5:52
Posted by Unknown at 7:31 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMEONDOKA NCHINI KWENDA KENYA KWA ZIARA RASMI YA KIKAZI YA SIKU MBILI OKTOBA 31,2016

unnamed

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisindikizwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akiwa tayari kwa safari ya kwenda Nairobi, Kenya kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili Oktoba 31, 2016

Read more »
Posted by Unknown at 7:28 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Naibu Balozi wa Kenya nchini Mhe Boniface Muhia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli

Friday, October 28, 2016

Watu watatu wapoteza maisha kwa ajali ya gari wakati wakielekea katika harusi

mayala-towo


 0
Abiria watatu kati ya tisa waliokuwa wakisafiria gari aina ya Toyota Noah T.878 CZY wamefariki dunia baada ya gari hilo kuacha barabara na kupinduka katika kona maarufu ya Mohammed Trans nje kidogo ya mji wa Singida.
Read more »
Posted by Unknown at 6:35 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: MOHAMMED TRANS NJE KIDOGO YA MJI WA SINGIDA.

CHADEMA YAPINGA KUNUNULIWA NA LOWASSA, YASHINDWA KUZUNGUMZIA TUHUMA ZA UFISADI.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema ni uongo na ni propaganda za wapinzani wao kwamba Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa alimhonga Mwenyekiti Freeman Mbowe ili kupata nafasi ya kugombea urais mwaka 2015.
Read more »
Posted by Unknown at 3:52 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Dkt Mashinji, Mwenyekiti Freeman Mbowe, Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa

SHULE YA SEKONDARI YA ALMUNTANZIR YA JIJINI DAR ES SALAAM YATOZWA FAINI KWA UCHAFUZI WA MAZINGIRA

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina (katikati) alipofanya ziara ya kukagua mazingira katika kiwanda cha kutengeneza viroba vya mifuko Unberg International kilichopo jijini Dar es salaam.

Read more »
Posted by Unknown at 2:07 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: kiwanda cha kutengeneza viroba vya mifuko Unberg International, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina

Thursday, October 27, 2016

BOFYA HAPA CHINI KUSOMA MATOKEO YA DARASA LA SABA,



KUSOMA MATOKEO YA DARAS LA SABA BOFYA HAPA

Serikali Yatangaza Matokeo ya Mtihani Darasa la 7......Bofya hapa Kuyaona



Serikali  imetangaza  matokeo  ya  mtihani  wa  darasa  la  7 kwa mwaka 2016  ambapo ufaulu  umeongezeka  kwa asilimia 2.52 na shule iliyoongoza kitaifa ni shule ya Msingi Kwema  ya  mkoani Shinyanga

====>> Bofya  << HAPA>>  Kuyaona matokea

AU 

===> Waweza Bofya  pia  <<HAPA>>  Kuyaona
Posted by Unknown at 6:32 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Matokeo darasa la saba

Wednesday, October 26, 2016

WACHINA WAWILI WAKAMATWA KWA KOSA LA UTEKAJI NYARA, JESHI LA POLISI LATAHADHARI WANANCHI

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata raia wawili wa China kwa makosa ya utekaji nyara mfanyakazi wa kasino ya Le Grande iliyopo maeneo ya Upanga, ambaye pia ni mchina aliyefahamika kwa jina la Liu Hong (48).
Read more »
Posted by Unknown at 7:55 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Kamanda Simon Sirro, mchina Liu Hong

UMOJA WA WALIMU NA WAZAZI (UWW) UMEONDOA MIGOGORO BAINA YA WALIMU NA WAZAZI MKOANI DODOMA


















Na: Lilian Lundo - MAELEZO - Dodoma

Uanzishwaji wa Umoja wa Walimu na  Wazazi (UWW) kwa shule za Msingi za Serikali Mkoani Dodoma umefanikiwa kutatua migogoro baina ya walimu na wazazi iliyodumu kwa muda mrefu mkoani humo. 

Hayo yamesemwa, Mjini Dodoma  na Mratibu Elimu Kata wa Kigwe Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma Elias Milaji katika Mkutano wa Waratibu wa Elimu Kata wa Mkoa huo kuhusu Mafanikio ya uanzishwaji wa UWW katika shule za Msingi za Serikali katika Mkoa huo.

"UWW umeweza kutatua migogoro mingi iliyoko katika kata ya Kigwe, moja ya migogoro hiyo ni wazazi kugoma kushiriki mikutano ya shule kutokana na walimu kukataa kuwafuta watoto wa kike shule ili wakaolewa," alifafanua Milaji.

Aliendelea kwa kusema kuwa, baada ya uanzishwaji wa UWW katika kata hiyo migogoro imepungua kwa kiasi kikubwa na wazazi wamekuwa wakishiriki katika kufuatilia maendeleo ya masomo pamoja na mahudhurio ya watoto wao.

Kwa upande wake Mratibu Elimu Kata wa Chamwino, Chitema Simango amesema kuwa UWW umewezesha kwa kiasi kubwa ushiriki wa wazazi katika maendeleo ya shule ambapo kabla ya uanzishwaji wa Umoja huo walimu walikuwa wakiachiwa ufuatiliaji wa maendeleo ya wanafunzi pamoja na shule lakini kwa sasa wazazi na walimu wanashirikiana kwa pamoja katika kufuatilia maendeleo ya wanafunzi na shule.

Aidha UWW umeleta uwazi katika mapato na matumizi ya shule ambayo  yanabandikwa katika mbao za matangazo za shule husika na wazazi wanapewa nafasi ya kuhoji juu ya mapato na matumizi hayo.

UWW ni mpango ulionzishwa na Serikali kwa kushirikiana na Mpango wa Kuinua Ubora wa Elimu Tanzania (EQUIP-T) ukiwa na lengo la kuboresha mahusiano bora kati ya walimu na wazazi. Umoja huo mpaka sasa umeanzishwa katika mikoa ya Dodoma, Kigoma, Shinyanga, Simiyu, Tabora,
Mara na  Lindi.
Posted by Unknown at 3:16 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Mjini Dodoma na Mratibu Elimu Kata wa Kigwe Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma Elias Milaji

Tuesday, October 25, 2016

WATU 12 WAMERIPOTIWA KUUWAWA KATIKA SHAMBULIO LILOTEKELEWA NA KUNDI LA AL-SHABAB HUKO MANDERA,KENYA.

Washambuliaji walirusha vilipuzi kwenye jumba hilo

Image copyright
Watu 12 wameuawa baada ya watu wenye silaha kushambulia nyumba moja ya malazi mjini Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya.
Read more »
Posted by Unknown at 2:26 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Kenya, Somalia na Ethiopia

WANAHABARI WAPIGWA MSASA KUHUSU KINGATIBA YA MABUSHA, MATENDE, USUBI, KICHOCHO, TRAKOMA

 Ofisa Mradi wa Mpango wa Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele, Oscar Kaitaba akielezea umuhimu wa vyombo vya habari kuelimisha umma kujenga tabia ya  kutumia Kingatiba ya magonjwa ya kichocho, Minyoo ya Tumbo, Usubi Matende na Mabusha wakati wa Warsha iliyoshirikisha wanahabari, Dar es Salaam leo. Kampeni ya kuwapatia wananchi Tibakinga kwa wakazi takribani mil. 4 wa Jiji la Dar es Salaam itaanza Oktoba 25 waka huu. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
 Meneja Mradi wa Mpango wa Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele, Upendo Mwingira akifafanua jambo wakati wa warsha hiyo.
 Wanahabari wakiwa katika warsha hiyo



 Mtangazaji wa BBC, Halima Kassim akitafakari jambo  kuhusu semina hiyo ya wanahabari kupata uelewa kuhusu magonjwa hayo na jinsi ya kuwaelimisha wananchi kutumia Kingatiba kwa kumeza  dawa mara noja kila mwaka ili kuboresha afya

 Mtaalamu Kaitaba akionesha baadhi ya dawa za Kingatiba ya magonjwa hayo

 Ofisa Habari wa Mradi huo, Said Makora akiwataka wanahabari kuwaelimiasha wananchi juu ya magonjwa hayo na jinsi ya kupata Kingatiba kwa kuandika makala, habari, majarida na kutumia mitandao ya kijamii kwa nia ya kuyatokomeza magonjwa hayo kufikia mwaka 2020.
 Kaitaba akionesha vifaa vinavyotumika kuwapima watu ili wapewe dawa kulingana na kimo chake.
 Mwandishi wa Habari wa Nipashe, Jasmin akichangia mada wakati wa semina hiyo.
 Wana habari wakipatiwa dawa za Kingatiba za magonjwa hayo

Mtangazaji wa E FM Radio akipimwa urefu ndipo apatiwe dawa 
Posted by Unknown at 2:08 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Monday, October 24, 2016

NDALICHAKO, MAHIGA WAWAVURUGA CHADEMA..... CCM WAJICHAGULIA MEYA BILA MPINZANI

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeususia uchaguzi wa Meya na Naibu Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, hali iliyopelekea wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufanya uchaguzi peke yao na kuwapigia kura wagombea wao bila upinzani.

CCM wamemchagua Benjamin Sitta kuwa Meya wa Manispaa hiyo kwa kura zote 18 za wajumbe wa chama hicho. George Manyama amepata Baraka za wajumbe hao wa chama tawala kuwa Naibu Meya wa Manispaa hiyo.

Chadema waliususia uchaguzi huo kwa madai kuwa CCM wamechakachua kwa kuwaleta Profesa Joyce Ndalichako (Waziri wa Elimu) na Balozi Agustine Mahiga (Waziri wa Mambo ya Nje) kupiga kura katika Manispaa hiyo ili hali waliapa na kusajiliwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilala. Hivyo, sio wajumbe halali wa Kinondoni na hawakupaswa kupiga kura.

Wajumbe wa Chadema wanadai kuwa uchaguzi uliofanywa na CCM peke yao sio halali kwani pamoja na mambo mengine akidi ambayo ni 2/3 ya wajumbe waliopaswa kufanya uchaguzi huo kuwa halali haikutimia.

Chadema imepanga kupinga uchaguzi huo mahakamani.
Posted by Unknown at 6:53 AM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Chadema, Chama cha Mapinduzi CCM, Profesa Joyce Ndalichako

MFALME MOHAMMED VI KUTOKA TAIFA LA MOROCCO AWASILI JIJINI DAR JIONI HII,APOKELEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT MAGUFULI

Pichani ndege aina ya Boeing 747 iliyombeba Mfalme Mohammed VI wa Morocco na ujumbe wake ikiwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere,jioni hii jijini Dar na kulakiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.

Read more »
Posted by Unknown at 6:48 AM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Mfalme Mohammed VI, Morocco, Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere

Friday, October 21, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA IRAN NCHINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Irani nchini Mhe.Mehdi Agha Jafari (kushoto)ambaye alifika ofisini kwa Makamu wa Rais,Ikulu jijini Dar es Salaam leo na kuaga baada ya muda wake wa kazi kumalizika nchini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Irani nchini Mhe.Mehdi Agha Jafari (kushoto)ambaye alifika ofisini kwa Makamu wa Rais,Ikulu jijini Dar es Salaam leo na kuaga baada ya muda wake wa kazi kumalizika nchini.

Posted by Unknown at 7:32 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Balozi wa Irani nchini Mhe.Mehdi Agha Jafari, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan

NHC YAFANYA UHAKIKI WA VIKUNDI VYA VIJANA KATIKA MIKOA YA MWANZA, GEITA NA MARA

Jengo la ofisi linalojengwa na vijana wa kikundi cha Sarorya ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa vijana wa kutengeneza matofali ya kufungamana kupitia mashine zilizotolewa na NHC kama msaada kwa vijana. Wa Pili Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari ambaye aliongoza ujumbe wa NHC katika uhakiki wa shughuli zinazofanywa na vijana hao baada ya kupewa msaada wa mashine.
Read more »
Posted by Unknown at 7:24 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Meneja wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Benedict Kilimba, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari

Waziri Mahiga afungua Mkutano wa Majadiliano ya Amani na Ulinzi kati ya SADC na EU

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Augustine Mahiga akitoa hotuba ya ufunguzi kwenye Mkutano wa majadiliano ya amani na ulinzi kati ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Umoja wa Ulaya (EU) unaofanyika katika Hoteli ya New Afrika Jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine Mkutano huo unarajia kujadili kuhusu masuala yafuatayo; Aina za chaguzi na jinsi zinavyosimamiwa miongoni mwa nchi wanachama, Vijana wa Afrika wanaokimbilia Ulaya kutafuta maisha, tishio la amani ya Kanda  na Dunia.
Read more »
Posted by Unknown at 7:09 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Dkt. Aziz Mlima, Katibu Mkuu wa Wizara ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax na Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya

WAZIRI WA ARDHI MH. WILLIAM LUKUVI AZINDUA RASMI KAMISHENI YA TUME YA TAIFA YA MIPANGO YA MATUMIZI YA ARDHI JIJINI DAR

Mh. William Lukuvi (MB) , Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi akizindua rasmi Kamisheni ya Tume ya Mipango na Matumizi ya Ardhi katika ukumbi wa Tume Jijini Dar es salaam leo.
Dr. Stephen Nindi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Mipango na Matumizi ya Ardhi Tanzania akitoa utambulisho wakati wa uzinduzi wa Kamisheni ya Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi
Mwenyekiti wa Kamisheni Mstaafu Bw. Abubakar Rajabu akizungumzia hatua walizofikia wakati akiwa mwenyekiti mpaka walipofikia kabla ya kumaliza muda wake na kumpongeza hatua zinazoendelea kwa sasa katika Tume hiyo.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Moses Kusiluka akimkaribisha Mwenyekiti mpya wa Kamisheni ya Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi.
Mwenyekiti mpya wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi Bw. Fidelis Mutakyamilwa akitoa neno la Shukurani kwa Mh. William Lukuvi (MB) , Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi baada ya uzinduzi rasmi wa tume na kuleleza kuwa wanaanza kuyafanyia kutekeleza mara moja maelekezo waliyopewa na Mh. Lukuvi
Makamishna wateule, Pamoja na Menijimenti ya Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi wakiwa katika uzinduzi huo.
Mh. William Lukuvi (MB) , Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Tume pamoja na Makamishna wateule Kamisheni ya Tume ya Taifa ya Mipango na Matumizi Bora ya Ardhi
Mh. William Lukuvi (MB) , Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi(aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Makamishna wateule Kamisheni ya Tume ya Taifa ya Mipango na Matumizi Bora ya Ardhi,Mwenyekiti,Katibu pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume hiyo
Makamishna wateule Kamisheni ya Tume ya Taifa ya Mipango na Matumizi Bora ya Ardhi(aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi

Posted by Unknown at 7:09 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Newer Posts Older Posts Home
Subscribe to: Posts (Atom)

Blog Archive

  • ►  2018 (7)
    • ►  October (1)
    • ►  February (6)
  • ►  2017 (146)
    • ►  December (1)
    • ►  November (1)
    • ►  October (2)
    • ►  July (2)
    • ►  June (1)
    • ►  April (17)
    • ►  March (25)
    • ►  February (46)
    • ►  January (51)
  • ▼  2016 (878)
    • ►  December (39)
    • ►  November (34)
    • ▼  October (42)
      • RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI NCHINI KENYA...
      • TAARIFA YA SPIKA WA BUNGE OKTOBA 31,2016
      • RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMEONDOKA NCHINI KWE...
      • Watu watatu wapoteza maisha kwa ajali ya gari waka...
      • CHADEMA YAPINGA KUNUNULIWA NA LOWASSA, YASHINDWA K...
      • SHULE YA SEKONDARI YA ALMUNTANZIR YA JIJINI DAR ES...
      • BOFYA HAPA CHINI KUSOMA MATOKEO YA DARASA LA SABA,
      • WACHINA WAWILI WAKAMATWA KWA KOSA LA UTEKAJI NYAR...
      • UMOJA WA WALIMU NA WAZAZI (UWW) UMEONDOA MIGOGORO ...
      • WATU 12 WAMERIPOTIWA KUUWAWA KATIKA SHAMBULIO LILO...
      • WANAHABARI WAPIGWA MSASA KUHUSU KINGATIBA YA MABUS...
      • NDALICHAKO, MAHIGA WAWAVURUGA CHADEMA..... CCM WAJ...
      • MFALME MOHAMMED VI KUTOKA TAIFA LA MOROCCO AWASILI...
      • MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA IRA...
      • NHC YAFANYA UHAKIKI WA VIKUNDI VYA VIJANA KATIKA M...
      • Waziri Mahiga afungua Mkutano wa Majadiliano ya Am...
      • WAZIRI WA ARDHI MH. WILLIAM LUKUVI AZINDUA RASMI K...
      • Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amesema S...
      • NAMAINGO KUWANUISHA WAJASIRIAMALI 3000 KWA MRADI W...
      • RAIS DKT MAGUFULI AUNGANISHA FAMILIA YA MAREHEMU D...
      • SERIKALI YA TANZANIA IMEPOKEA Tsh BILIONI 97 TOKA ...
      • RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AAGANA NA KIONGOZI M...
      • MAKAMU WA RAIS MAMA SULUHU AWEKA JIWE LA MSINGI WO...
      • STEVE NYERERE STANDS UP COMEDY YAFANA JIJINI DAR E...
      • WAZEE WASTAAFU WANAWEZA KUWA MABILIONEA NA KUIBADI...
      • MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA WODI...
      • MAADHIMISHO YA KITAIFA YA AFYA YA AKILI.
      • PROF. MBARAWA AAGIZA TANROADS KUBORESHA UTENDAJI.
      • WAZIRI UMMY ATOA MISAADA KWA WAATHIRIKA WA TETEMEK...
      • NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA JAMHURI YA CZECH A...
      • TANESCO YATILIANA SAINI MIKATABA YA KUJENGA NJIA Y...
      • RC WA MBEYA AMOS MAKALLA ATOA TAMKO KUFUATIA TUKIO...
      • UMASKINI NI MATOKEO YA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA...
      • WAKURUGENZI WATAKIWA KULIPA POSHO ZA SARE KWA WAUGUZI
      • WAZIRI MWIGULU NCHEMBA ALIAGIZA JESHI LA POLISI MK...
      • LIST YA VYUO VILIVYOTOA SELECTION YA MAJINA YA WAN...
      • TAZAMA PICHA MBALIMBALI ZA RAIS JOSEPH KABILA WA J...
      • SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA MAJI ILIYOHARIBI...
      • MAKAMU WA RAIS WA CUBA AMALIZA ZIARA YA SIKU TATU ...
      • ''ZAIDI YA 100 WALIFARIKI'' KATIKA MAANDAMANO ETHI...
      • WAZIRI PROF. MBARAWA AITAKA TTCL KUTAFUTA WATEJA.
      • RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO N...
    • ►  September (42)
    • ►  August (58)
    • ►  July (84)
    • ►  June (116)
    • ►  May (145)
    • ►  April (160)
    • ►  March (108)
    • ►  February (9)
    • ►  January (41)

About Me

Unknown
View my complete profile

SIKILIZA WAPO RADIO PONYEZA HAPA



RATIBA YA WIKI NZIMA;
0715 - 0800hrs Patapata
0800 - 0845hrs Yasemavyo Magazeti
0845 - 1000hrs Zilizotufikia
1000 - 1200hrs Meza ya Busara
1200 - 1205hrs Habari kwa Ufupi
...
1800 - 1830hrs DW Idhaa ya Kiswahili
1830 - 1900hrs Duru za Michezo
1900 - 2000hrs Yaliyotokea
...
Tuandikie uko wapi na utuambie usikivu ulivyo nasi tuzidi kuboresha zaidi.
wapohabari98.1@gmail.com
Au tuma sms tu kwenda +255-682672828
Namba ya kipindi cha majadiliano live studioni ni +255-655-980011
Tunawatakia usikivu mwema wa 98.1 Mhz, WAPO Radio FM Online.
Pata mengi kupitia
http://waporediofm.blogspot.com/
wapohabari98.1. Simple theme. Theme images by konradlew. Powered by Blogger.