Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama wakati wa dua katika eneo la kaburi hilo la Muasisi na Rais wa Kwanza wa Kenya Maremu Mzee Jomo Kenyatta jijini Nairobi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali mbele ya kaburi la Muasisi na Rais wa Kwanza wa Kenya Maremu Mzee Jomo Kenyatta mara baada ya kuweka shada la maua katika eneo la katikati ya jiji la Nairobi nchini Kenya mara baada ya kuwasili nchini humo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati wa nyimbo za mataifa mawili zikiwa zinapigwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima aliloandaliwa na Jeshi la Kenya mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kumaliza mazungumzo yao katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kumaliza mazungumzo yao katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na ujumbe wake katika mazungumzo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na ujumbe wake katika Ikulu ya Nairobi.
No comments:
Post a Comment