Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye hafla fupi ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa wodi tatu za wazazi na watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye hafla fupi ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa wodi tatu za wazazi na watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es salaam leo Octoba 11,2016.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan(katikati) akisoma maandishi yalioandikwa kwenye jiwe la msingi la ujenzi wa wodi ya wazazi katika hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es salaam,kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na kulia ni Meneja wa Biashara wa kampuni ya Amsons Group Bw. Suleiman K.Amour.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa wodi ya wazazi
Mbunge wa Ilala mhe Hassan Zungu akizungumza katika uzinduzi wa jiwe la ujenzi wa wodi ya wazazi.
No comments:
Post a Comment