Showing posts with label Somalia na Ethiopia. Show all posts
Showing posts with label Somalia na Ethiopia. Show all posts

Tuesday, October 25, 2016

WATU 12 WAMERIPOTIWA KUUWAWA KATIKA SHAMBULIO LILOTEKELEWA NA KUNDI LA AL-SHABAB HUKO MANDERA,KENYA.

Washambuliaji walirusha vilipuzi kwenye jumba hilo

Image copyright
Watu 12 wameuawa baada ya watu wenye silaha kushambulia nyumba moja ya malazi mjini Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya.