Showing posts with label Naibu Balozi wa Kenya nchini Mhe Boniface Muhia. Show all posts
Showing posts with label Naibu Balozi wa Kenya nchini Mhe Boniface Muhia. Show all posts

Monday, October 31, 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMEONDOKA NCHINI KWENDA KENYA KWA ZIARA RASMI YA KIKAZI YA SIKU MBILI OKTOBA 31,2016

unnamed

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisindikizwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akiwa tayari kwa safari ya kwenda Nairobi, Kenya kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili Oktoba 31, 2016