Mkurugenzi Idara ya Kuratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brigedia Jenerali Mbazi Msuya akimueleza Askofu wa Jimbo Katoliki la Bunda Renatusi Nkwande (wa pili kushoto) namna ya kutumia jengo la kanisa lililoathiriwa na tetemeko la ardhi lililopo ndani ya shule ya sekondari Ihungo. wa pili kulia ni Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama na Mhadhiri wa Seminari Kuu ya Ntungamo Padre Benedict Bigirwamungu (wa kwanza kulia).
Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama akibadilishana mawazo na Mkuu wa wilaya ya Bukoba Deodatus Kinawiro katika eneo la shule ya msingi Mugeza Mseto iliyopo Manispaa ya Bukoba wakati wa ziara ya kujionea maeneo mbalimbali yaliyoathiriwa na tetemekola ardhi.
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bunda Renatusi Nkwande (wa pili kushoto) akionesha Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama (wa pili kulia) maeneo ya kanisa lililopo ndani ya shule ya sekondari Ihungo lililoharibika kwa athari za tetemeko la ardhi. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Idara ya Kuratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brigedia Jenerali Mbazi Msuya na Mhadhiri wa Seminari Kuu ya Ntungamo Padre Benedict Bigirwamungu (wa kwanza kulia).
Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama akiongea na Afisa Elimu Vifaa na Takwimu Idara ya Elimu Sekondari Mwl. Rubaiyuka (kulia) leo mjini Bukoba mara baada ya kutembelea ghala la vifaa vinavyokusanywa kabla ya kugawiwa kwa waathirika wa tetemeko la ardhi. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Idara ya Kuratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brigedia Jenerali Mbazi Msuya.
Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama akibadilishana mawazo na Mkuu wa wilaya ya Bukoba Deodatus Kinawiro katika eneo la shule ya msingi Mugeza Mseto iliyopo Manispaa ya Bukoba wakati wa ziara ya kujionea maeneo mbalimbali yaliyoathiriwa na tetemekola ardhi.
(Picha na Eleuteri Mangi, MAELEZO, Bukoba)
Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama akiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Mugeza Viziwi iliyopo manispaa ya Bukoba alipowatembelea leo shuleni hapo.
Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama akiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Mugeza Mseto iliyopo manispaa ya Bukoba alipowatembelea leo shuleni hapo.
Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama akisalimiana na Mwalimu Mkuu Msaidizi wa shule ya msingi Mugeza Mseto iliyopo Manispaa ya Bukoba Joseph Rubago.
Mkurugenzi Idara ya Kuratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brigedia Jenerali Mbazi Msuya akieleza Askofu wa Jimbo Katoliki la Bunda Renatusi Nkwande (wa pili kushoto) namna ya kutumia jengo la kanisa lililoathiriwa na tetemeko la ardhi lililopo ndani ya shule ya sekondari Ihungo. wa pili kulia ni Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama na Mhadhiri wa Seminari Kuu ya Ntungamo Padre Benedict Bigirwamungu (wa kwanza kulia).
(Picha na Eleuteri Mangi, MAELEZO, Bukoba)
No comments:
Post a Comment