Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha ndani kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaamSeptemba 8, 2016. PICHA NA IKULU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasili kuhudhuria mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya Bw. Liberat Mfumukeko muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Sudan ya Kusini muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo Septemba 8, 2016.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Burundi Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Mhe. Alain Nyamitwe muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mjumbe wa Burundi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016.
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akibadilishana mawili matatu na Rais Paul Kagame wa Rwanda muda mfupi kabla kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaamSeptemba 8, 2016. Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Paul Kagame wa Rwanda muda mfupi kabla kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016.
Waziri wa Katiba na sheria Dkt Harrison Mwakyembe akiongea na Dkt Twaha Taslima wa Law Chambers kabla kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016.
Naibu Rais wa Kenya Mhe William Rutto akiwasili tayari kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016.
Rais Yoweri Kaguta Museveni akisalimiana na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Rutto akiwasili kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016.
No comments:
Post a Comment