Saturday, September 17, 2016

UZINDUZI WA CHANGIZO ENDELEVU KWA AJILI YA WAPO RADIO KWA LENGO LA KUFANIKISHA UJENZI WA STUDIOMPYA,KUBORESHA MATANGAZO NA KUONGEZA USIKIVU

Mtaalamu wa uchumi Mr Emilian Busara akifundisha somo la ujasiriamali ndani ya ukumbi wa BCIC Mbezi Beach ambapo anazungumzia hatua tano za kufanikiwa.

 Askofu John Rwezaura akifungua kongamano.

 Askofu Rwezaura akiwa na mhariri mkuu wa wapo readio na msemakweli Elibariki Minja ndani ya ukiumbi wa BCIC Mbezi Beach
Mhariri mkuu wa wapo Mission akiwa ndani ya umbumbi wa BCIC Mbezi Beach
 Mr Emilian Busara Akiwa ndani ya ukumbi wa BCIC Mbezi Beach kabla ya kuanza kufundisha somo la ujasiriamali sehemu ya faida
 Mwimbaji wa kwaya ya MKC Wilson Kibugu akiwa na mtangazaji wa WAPO radio David Gille mara baadaya ya wanakwaya hao kuwasili ndani ya viwanja vya BCIC MBEZI Beach
 Mchungaji Bernad Jomalema wa huduma ya BCIC Mbezi Beach kulia aliwa na mtangazaji wa kipindi cha michezo Said Ally Mwandike.
Mchungaji Joseph Mwangomola akielekeza wageni wanaowasili ndani ya ukumbi wa BCIC Mbezi Beach.

No comments:

Post a Comment