Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akimuuliza jambo Kaimu Fundi Mkuu wa ZBC TV Nd,Mwadini Ame (kulia) wakati alipotembelea Studio ya kurikodia vipindi mbali mbali akiwa katika ziara maalum katika kituo cha kurushia matangazo ya TV Karume House leo,(wa pili kulia) Mkurugenzi wa ZBC TV Nd,Iman Duwe na (kushoto) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee, [Picha na Ikulu.] 21/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mhariri Mkuu wa ZBC Tv Nd,Suleiman Almasi (wa pili kushoto) wakati alipotembelea chumba cha Habari (News Room) leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea kituo cha kurushia matangazo ya TV Karume House, [Picha na Ikulu.] 21/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa utayarishaji wa Vipindi vya ZBC Tv Nd,Halima Mselem (katikati) wakati alipotembelea moja ya Ofisi za ZBC TV katika kituo cha kurushia matangazo Karume House leo akiwa katika ziara maalum, [Picha na Ikulu.] 21/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akitoa maelekezo kwa Uongozi wa ZBC TV leo alipofanya ziara maalum ya kutembelea kituo cha kurushia matangazo ya TV, Karume House pia kutembelea sehemu mbali mbali katika kituo hicho,akiwepo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Nd,Omar Hassan Omar (wa tano kulia) [Picha na Ikulu.] 21/09/2016.
kulia) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati alipotembelea moja ya studio za kusomea Taarifa mbali mbali muhimu ikiwemo taarifa za Habari katika kituo cha Karume House leo alipofanya ziara maalum, akiwa na Ujumbe wake akiwemo Katibu Mkuu wa baraza la Mapinduzi pia katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (wa pili kulia) katibu Mkuu Wizara ya habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Nd.Omar Hassan Omar(wa tatu kushoto), [Picha na Ikulu.] 21/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati alipotembelea moja ya studio za kusomea Taarifa mbali mbali muhimu ikiwemo taarifa za Habari katika kituo cha Karume House leo alipofanya ziara maalum, akiwa na Ujumbe wake akiwemo Katibu Mkuu wa baraza la Mapinduzi pia katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (wa pili kulia) katibu Mkuu Wizara ya habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Nd.Omar Hassan Omar(wa tatu kushoto), [Picha na Ikulu.] 21/09/2016.
No comments:
Post a Comment